National Anthems of the World





Music Control



 

Tanzania
"Mungu ibariki Afrika"
(God Bless Africa)


KISWAHILI LYRICS

Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.

CHORUS
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

CHORUS
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.


ENGLISH TRANSLATION

God Bless Africa.
Bless its leaders.
Let Wisdom Unity and
Peace be the shield of
Africa and its people.

CHORUS
Bless Africa,
Bless Africa,
Bless the children of Africa.

God Bless Tanzania.
Grant eternal Freedom and Unity
To its sons and daughters.
God Bless Tanzania and its People.

CHORUS
Bless Tanzania,
Bless Tanzania,
Bless the children of Tanzania.
 

 
            




Google
Web Land of Magic
 

 

 
 
 


  Copyright © 2008 www.landofmagic.co.uk All rights reserved